Kuna Mwiba, Tafuta Mwiba - Kifo Kisimani


MTEMI BOKONO: Batu, kwa nini watu hawajafika kwa kiwanja?
BATU: Mtemi Bokono, kiongozi mwenye busara. Wana Butangi waliambiwa wasubiri mingamiwili.
MTEMI BOKONO: ( Akiingiwa na wasiwasi) Mingamiwili?!!!
( Zigu anaondoka kuenda kuangalia watu wakiwa mingamiwili. Anarudi kwa hofu).
ZIGU: Hawako.
MTEMI BOKONO: ( Kwa hasira) Nani?
ZIGU: Mtemi Bokono, watu hawako mingamiwili.
MTEMI BOKONO: ( Akinyosha bakora kwa Batu). Kuna mwiba. Tafuta mwiba....
Just remembering my old days in high school
#KifoKisimani

Comments

Popular posts from this blog

What Tibim and Tialala stand for

Don’t be Easily Deceived by so-called Prophet David Owuor

Is gambling or betting a sin? What does the Bible say about gambling